Lyrics

Roho wako mwenyezi Amenifanya jinsi nilivyo Pumzi yako, uhai wangu Umefufua mifupa mikavu Uhai umenipa baba yangu Umetuliza dhoruba Wakati wa mawimbi Moyo wangu na, ukuiniue wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa, moyo wangu Moyo wangu na, ukuiniue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu na, ukuiniue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Egemeo Baba yangu umbali huu Ninashukuru, Mwamba, ah-ah-ah Dunia mbingu, ni mwashahidi umbali huu Ni dahiri ni wewe, bwana wa mabwana Kwa makubwa, madogo, umbali huu Ni wewe bwana wa mabwana Na mengi, machache, umbali huu Ni wewe bwana wa mabwana Moyo wangu Moyo wangu na, ukuiniue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu na, ukuiniue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu Moyo wangu na, ukuiniue kila wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Moyo wangu na, ukuiniue wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa Ni na kuinua, inua haa Umetenda mema, mema, bwana oooh Ni na kuinua, inua haa Umetenda mema, mema, bwana Ni wewe (wewe) Shamma wewe ni Jehovah Shamma Ni wewe (wewe) Jireh wewe ni Jéhovah Jireh Ni wewe (wewe) Shamma wewe ni Jéhovah Shamma Na bado wazidi kuwa yulé Mungu umekuwa Na bado wazidi kuwa yulé Mungu umekuwa Shammah we, ni jéhovah jireh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out