Lyrics

Macho yangu, nayainua, Nibadilishe, Unibariki, Baraka zako, haina huzuni, Nizakudumu milele amina Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Ukabadilisha, Yakobo jina ukamwita, Isreael maana yake, kubarikiwa Nami naomba kubarikiwa nawe. Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Ninapokutazama utanininua, Ninapokutazama utanibariki, Ninapokutazama sitaogopa kamwe, Sitoki hapa bila uguso wako. Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Ukinigusa nimebarikiwa, Uguso wako, ni baraka kwangu, Ulimgusa Batholomayo akaona, Ndipo nasema, nataka uguso wako. Sitoki hapa usinibariki. Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki Baba naomba, kubarikiwa nawe, Sitoki hapa usiponibariki
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out