Lyrics

Wastahili kusifiwa U Mungu pekee Adonai Wastahili kusifiwa U Mungu pekee Adonai Tunakusujudia Umetukuka enzini Tunakusujudia Umetukuka enzini Tunakusujudia Umetukuka enzini Tunakusujudia Umetukuka enzini Baba watawala enzini Hakuna Mungu kama wewe Baba watawala enzini Hakuna Mungu kama wewe Tunakusujudia Umetukuka enzini Tunakusujudia Umetukuka enzini Wewe ndiwe Bwana wa Bwana Wewe ndiwe Bwana wa Bwana Wewe ndiwe Bwana wa Bwana Mungu kama wewe (hakuna) Mungu kama wewe (hakuna) Mungu kama wewe (hakuna) Mungu kama wewe (hakuna) Wewe ndiwe Bwana wa Bwana Wewe ndiwe Bwana wa Bwana Tunakusujudia Umetukuka enzini Wastahili
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out