Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Songwriter
Lyrics
Oooh
Ooh baby, ooh baby
Naamini kila binadamu ana ubaya na uzuri wake, baby
Mmmh
Naamini kila binadamu ana madhaifu yake
Ooh baby
Mmmh
Nami yangu nayajua na nakabiliana nayo
Ila mwenzio sitojua kwa kosa la kuumiza moyo wako, ooh nisamehe
Tena najuta, najuta eeh
Aah, yalonikuta
Kazi ya ibilisi mama
Tena usiku silali
Labda nilewe chakari
Ama nilale mama na picha yako kifuani
Ndo nijisuku nami je unaniwaza
Mmh baby
Ama tamaa kwangu ulishakata
Aje anione, aje akanione
Aje anione, aje anione
Aje akanione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione ne ne ne ne
Aje anione ne ne ne ne
Aje anione
Wajua ninakukosa sana, hasa giza linapotanda
Mi mahututi
Mi mahututi
Wajua nmekuzoea mama, nakuhitaji leo zaidi ya jana
Na endapo utachelewa mama
Mi maiti
Eeeh
Tena najuta, najuta eeh
(Mamaa)
Yalonikuta
Kazi ya ibilisi mama
Tena usiku silali
Labda nilewe chakari
Ama nilale (mama) na picha yako kifuani
Ndo nijisuku nami
Je unaniwaza
Mmh, baby
Ama tamaa kwangu ulishakata
Aje anione, aje akanione
Aje anione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione, aje anione
Aje anione ne ne ne ne
Aje anione ne ne ne ne
Aje anione
Writer(s): Jacob Obunga
Lyrics powered by www.musixmatch.com