Lyrics

Vers 1 Moyo Wangu Aliumiza Vibaya Nanusurika kua Hai, Nanusurika kua Kua Hai Na Kidonda Ndugu Alionipa Kina Maliza Tu Dawa Katu Hakiponi Ooh Akiponi!! Ila Kumuacha Ndio Siwezi Moyo Umemchagua Yeye japo Najua Hanipendi Kua Naye Sitaki, Ila sina budi Moyo Unamuitaji (Nampenda Anajua ndio Mana Anajisheua Moyo Una kina Kirefu Kilichonieka Kwake ndo sijaelewa×2) Pre-Chorus (Aaghaaghaagh Haya Mapenzi Hayana Macho Aaghaaghaagh Masikini Moyo Wangu kapenda Mahala sipo x2) (Yule mbaya Ndo nimpendaye Yule mbaya Ndio nimtakaye Yule mbaya ndio nimpendaye Nafsi Mtumwa wa Moyo x2) Vers 2 Kweli Nafsi Mtumwa wa Moyo Niliishia kumkumbatia nilipomfunia wazi wazi na jamaa Aliporudi nikampokea ila akanizuga tena na tena Mdomoni mchungu ila nimeshindwa kumtema (Sipougenini ila ni kweusi Anachothamini Fulusi tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani x2) Pre-Chorus (Aaghaaghaagh Haya mapenzi hayana Macho Aaghaaghaagh Masikini Moyo Wangu Kapenda Mahala sipo ×2) (Yule Mbaya ndio nimpendaye Yule mbaya Ndio nimtakaye Yule mbaya ndio nimpendaye Nafsi Mtumwa wa Moyo ×2)
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out