Top Songs By MwanaFA
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
MwanaFA
Performer
Vanessa Mdee
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Vanessa Mdee
Composer
Hamis Mwinjuma
Songwriter
Lyrics
We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami
Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami (Falsafa)
Who dat who dat, hii ni salamu
Na ufahamu kama unauza mapenzi sio kwa binamu
Huna haja ya kuisubiri hii ni ukumu
Hakuna kitu utapata tangoja ka askari wa zamu
Dume suruali, au dume kaptula
Shauri zako ilmuradi nsipate hasara
Usione utani mi siongei hata kwa ishara
Utaniambia nini mpaka unigeuze fala
Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi
Sentiano yangu huguzi hata ukiongea kidosi
Jambo la kimapenzi tusileteane ujambazi
Hata upige sarakasi, utachonga viazi
(Dhahili kama nini) ndio mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada, hunitakii mema
We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami (aah)
Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami
I want the gucche, friende
Spending all I got it on me
I dance with money, honey
Spending all I got it on me yeah
Ni hongo inanunua nini, kwa nini yaani
Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani
Usiulize ntakupa nini dada piga moyo konde
Viuno vingi kama wale wa Kimakonde
Usipende hela kama mfuko
Na ufanye unavyofanya upate zako
Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
Na ujifunze pesa zinauza utu wako
Tajiri mtata kama salaa
Zipo ila sitoi sio bahili mi ni balaa
Unapenda hela zangu na mi naIpenda pia
Kila mtu abaki na zake, we baby tutaongea
(Mwanaume wa hivyo wa nini sasa)
Ndio mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada, hunitakii mema
We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami
Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami
I want the gucche, friende
Spending all I got it on me
I dance with money, honey
Spending all I got it on me yeah
Aje, aje, aje, mi mtoto flani ghali, yeah
Nihonge gari, my sweetie, sweetie baibe, ah
Wanna see you today, unipeleke pare, yeah
Aje, aje, aje, njoo nikupe TBT, yeah
Sio kwa enzi ya Magufuli
Zali ilikuwa longi siku hizi hakuna la mentali
Nkikuhonga na ukaniacha nitakuibia usingizini
Niepushe shari matatizo yote ya nini
Hakuna kipya chini ya jua
Hata nisiyoyafanya nishayasikia
Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu
Mademu wangu wa zamani
Wote wangekuwa maadui zangu
(Mwanaume ovyo wewe) ndio mnavyosema
Na ukiniomba kesho hunisikii tena
Kwani unauza nini dada
Hunitakii mema (baki na hamu zako)
We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami (aah)
Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami
I want the gucche, friende
Spending all I got it on me
I dance with money, honey
Spending all I got it on me yeah
Writer(s): Hamis Mohammed Mwinjuma
Lyrics powered by www.musixmatch.com