Lyrics

Ni munyama hatari Kuliko mamba wa bahari Anaye jifanya rafiki Akiwa ni munafiki Ana ckeka usoni Akiwa na hasira moyini Ana jifanya kondoo Akumbe yeye ni simba Oh binadamu Hawana shukurani Ndio maana siwa amini Binadamu wabaya Oh binadamu Hawana shukurani Ndio maana siwa amini Binadamu wabaya Mazuri tuna tenda Hakuna shukurani Binadamu hawana wema Hawana shukurani Hata utende mazuri Wata kusema vibaya Sasa ukifanikiwa kwao hawana raha Hata utende mazuri Wata kusema vibaya Sasa ukifanikiwa kwao hawana raha Oh binadamu Hawana shukurani Ndio maana siwa amini Binadamu wabaya Oh binadamu Hawana shukurani Ndio maana siwa amini Binadamu wabaya Oh binadamu Hawana shukurani
Writer(s): Daktari Iselweri Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out