Lyrics

Wanao tushinda myaka Lazima wapewe heshima Wali zaliwa mbele Wapewe heshima tele Wana jua siri ya hekima ah Wao ndio watu wazima ah Wame pitiya mengi nyuma ah Ni wakubwa dayima ah Wana jua siri ya hekima ah Wao ndio watu wazima ah Watoto tu heshimu wakubwa Wakubwa ni wakubwa Watoto tu heshimu wakubwa Wakubwa ni wakubwa Heshima watoto heshima Heshima kwa wakubwa Heshima Heshima watoto heshima Heshima kwa wakubwa Eh eh eh eh eh eh eh Eh eh eh eh eh eh eh Anaye kimo ya baba Naye ni baba naye ni baba ah Anaye umri wa mama Naye ni mama naye ni mama ah Wakubwa zaidi wapewe heshima ah ah ah Wakubwa zaidi tu tii wanayo sema ah ah ah Wana jua siri ya hekima ah Wao ndio watu wazima ah Watoto tu heshimu wakubwa Wakubwa ni wakubwa Watoto tu heshimu wakubwa Wakubwa ni wakubwa Heshima watoto heshima Heshima kwa wakubwa Heshima Heshima watoto heshima Heshima kwa wakubwa Heshima watoto heshima Heshima kwa wakubwa Heshima Heshima watoto heshima Heshima kwa wakubwa Eh eh eh eh eh eh eh Eh eh eh eh eh eh eh
Writer(s): Daktari Iselweri Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out