Lyrics

Eeh Oooh navaa suti, tai weka sawa(sawa) Mtoto roast roast yaani kazi na dawa Kwake sifurukuche yaani fire fire Mtoto Ndizi karoti helwa helwa Mchuma nzuri na tali bafana bafana Ah nishamsomea dua Aki cheat anagandana ananasana Kiuno kama dancer waki Congo Ana masifa akiinama Mixer kuongea kimombo Kama kitoto cha Obama Kitandani no longo longo(aaah...) Kisafi no tongo tongo(aah.) Kapewa undi katoa jambo Mtoto ni fundi anajua mambo Sinaga taabu baba wa kambo Na nunua namvua namvalishaga Ya habibi, ya habibi Ya hayati, ya hayati Ya habibi, ya habibi Marashi ya moyo wangu eeh Ya habibi (nichombeze) Ya hayati (nilegezee) Ya habibi(ayaya) Tuliza mtima wangu eeeh Mashindano, mashindano ni mazito Hili jiko jamaa, halishikiki nila moto Msuguano, mambo mpwito mpwito Kiuno ni feni mama, kitandani mafuriko Nasimamia ukucha, usiku natetema(aah mama) Akishikaga ukuta nashindwaga kuhema Kazini kurudi narudigi mapema(aah mama) Naogopa wenye nazo wasije ninyang'anya Ninapata shida mwenzako Ukitoka pekee yako Usiniache nitakufa mwenzako(oooh) Ya habibi(ooh beiby love), ya hayati Ya habibi, Marashi ya moyo wangu eeeh Ya habibi nichombeze nichombeze Ya hayati nilegeze legeze Ya habibi usije nipoteza Tuliza mutima wangu eeeh Ya habibi, ya habibi Ya hayati, we ndio wapekee Ya habibi, aaai wewe Marashi ya moyo wangu eeh eeh Ya habibi, nichombeze Ya hayati, nilegezee Ya habibi, ayayaya Tuliza mtima wangu eeeh Shikamoo, shikamoo Shikamoo, una ubaya gani? Aii beiby shikamoo Nakupa heshima, nakuamkia wee Nakupendaa shikamoo Nakupendaa shikamoo Nakupendaa ooh beiby shikamoo Kwa unavyonifanyia wee Ya habibi, ya habibi Weee, ya habibi
Writer(s): Donald Rwebangira Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out