Lyrics

Mmh mmh mmmh ooh oooh Sitaki mizozo Mmh mmh mmmh Instrunmental Eti nikuvumilie (nivumilie) Kushea na bwana yule Hata dhamiri yako wee(yako wee) Ikusute unihurumie Wewe nivumilie (nivumilie) Nakupenda sana wewe Hata moyo wangu wee Umefungwa kwako wewe eh eeh Labda sijui mapenzi, ndo sababu ukakimbia Au alikuwepo kitambo, hukutaka kuniambia Na kiherehere cha kupost vipicha wenzangu wananichora Ndo kusema hujui, nilikuamini umeninyima amani eeh eeeh Basi nikueleze huko kulalama unaniumiza moyo Ningekuwa na choyo nisingethamini upendo Umejawa na lawama aaah Ila ungenionea huruma aaah Wajua hali yetu mpenzi, Nisingeweza vumilia shida, na kupretend Inaniumiza nakuweka wazi Nambie nimuache aende na magari nirudishe Wazazi uwaambie kwenye nyuma watoke, usimame kama mume Basi nambie nimuache aende na magari nirudishe Wazazi uwaambie kwenye nyuma watoke, usimame kama mume eeh Eti nikuvumilie (nivumilie) Kushea na bwana yule Hata dhamiri yako wee(yako wee) Ikusute unihurumie Wewe nivumilie (nivumilie) Nakupenda sana wewe Hata moyo wangu wee Umefungwa kwako wewe eh Eti nikuvumilie (nivumilie) Kushea na bwana yule Hata dhamiri yako wee(yako wee) Ikusute unihurumie Wewe nivumilie (nivumilie) Nakupenda sana wewe Hata moyo wangu wee eeieh Umefungwa kwako wewe eh eeh Amini na maneno nayokwambia utaja nizingua Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanakimbia Kwanini nikwangalie mpenzi wee ukitoka na mwingine Unipe pesa za yule nitumie utanipenda kwa lipi eeh eeeh Habari ya mapenzi niulize mimi We uko moyoni kelele za nini Ninakuheahimu niamini, vumilie kidogo nimchune chune Baby ndo uanaume gani kusifiwa mapenzi iii Kupeleka vijizawadi vyangu naona aibu (usijali baby) Hadhi yangu ni vibajaji, mwenzangu uzungu Ntakuweza wapi, samaki machozi baharini Hata nikifanya huoni, ni maumivu moyoni Ntakuweza wapi, samaki machozi baharini Hata nikifanya huoni, ni maumivu moyoni Eti nikuvumilie masimango ya nini Akijua mi mwenzie nitauwa yamkini E-eti nikuvumilie (nivumilie) Kushea na bwana yule Hata dhamiri yako wee(yako wee) Ikusute unihurumie Wewe nivumilie (nivumilie) Nakupenda sana wewe Hata moyo wangu wee Umefungwa kwako wewe eh eeh Sitaki mizozo (mmmh) Nasema sitaki mizozo (mmmh) Sitaki mizozo (mmmh) Nasema sitaki mizozo (eeeh) Sitaki mizozo (naaaah) Nasema sitaki mizozo (uuuuh) Sitaki mizozo (eeeh) Nasema sitaki mizozo (eh eeh)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out