Lyrics

Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Kutoka tulipo kutana Sija wai kufikiria tuta'achana Lakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sana... Upendo gani na sikuoni baby? Upendo gani hupatikani honey? Upendo gani huniamini baby? Upendo gani na sikuoni baby? Upendo gani hupatikani honey? Upendo gani huniamini baby? Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Wasikudanganye eti sina uwezo Ninao, na sio mchezo Mbona kunipa mawazo Hamua, hamua, hamua Wasikudanganye eti sina uwezo Ninao, na sio mchezo Mbona kunipa mawazo Siina valu valu baby Naombo mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling... Siina valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling...
Writer(s): Joseph Mayanja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out