Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kusah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter
Lyrics
Mmm ooh yea
Ooh lalala ooh yea
Mmm mmm (Mafia)
Labda mbingu na dunia vije vishikane
Wabadili mchana uwe usiku wa manane
Wakitaka tuachane
Watupige mapanga baby tufe tuzikane
Si unajua nakujua sasa walimwengu mimi wataniambia nini
Na wakitaka kukwambia waambie baby wewe ndo unanijua mimi
Na vile vipengele si ungehama
Ningeingia maji ningezama
Walikuvua nguo ukachutama
Ukasema uniachi ukang'ang'ana na mimi
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali
Ooh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali
Ooh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Ooh lala
Basi nibebe nibebe (Unibebe)
Nibebe nibebe (Aah nimechoka)
Basi nibebe nibebe (Mmm)
Nibebe nibebe
Unibebe nibebe nibebe
Kwa kila hali nibebe
Wambea hawaishi maneno nibebe (Ooooh)
Nibebe nibebe tuende mbali
Namwaza
Nikutunukie tuzo
Tumeshinda vikwazo
Tangu mwanzo
Si rahisi mammy love kuishi na yao maneno
Wanatamani nikudharau
Niseme nimepanda dau
Kisa nikusahau wewe
Wangemiliki mbuga
Wangeshatufukuza
Kama wanyama mie wee
Tule mihogo tule dagaa
Ugali wa kuchoma na vinguru kaa
Tuishi vile tunavyotaka
Binadamu hatuwezi kuwaridhisha
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali oh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari
Tena hakuna kujali oh nana
Tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali
Tucheze tujivinjari ooh
Ooh lala
Basi nibebe nibebe (Unibebe)
Nibebe nibebe (Aah nimechoka)
Basi nibebe nibebe (Mmm)
Nibebe nibebe (Nibe nibebe)
Lyrics powered by www.musixmatch.com