Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Abdulkahali
Songwriter
Lyrics
(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi
Mwenzenu naficha naficha
Mengi ninayo yaona
Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu
Kumbe ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord (wapo)
Iyeiye iye (wapo)
Japo ni ngumu kuwaona (wapo)
Wapo wasotaka ufanikiwe
Wapo, binadamu hawana jema, (wapo)
Kila utachofanya watasema (wapo)
Wapo (wapo), wasotaka ubarikiwe
Dear lord mmh mmh
Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndo anaempiga chura teke
Usipoonewa donge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde wepabana mjini shule
Ukipata kidogo leta na wanao tule
Achana nao wanaosemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Machoni nikama watu
Kumbe ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Uzidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri kama
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord (wapo)
Iyeiye iye (wapo)
Japo ni ngumu kuwaona (wapo)
Wapo wasotaka ufanikiwe
Wapo! Binadamu hawana jema (wapo)
Kila utachofanya watasema (wapo)
Wapo! Wapo wasotaka ubarikiwe
Dear Lord
"Special message to the Youth"
It's your time now to follow your dream
No matter what people say, stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)
Writer(s): Harmonize Harmonize
Lyrics powered by www.musixmatch.com