Lyrics

Mmmh Aaah Bomboclaat Chinga again Konde music world wide Eeh Oooh Cough ah Mungu alonipa ukilema hawezi ninyima mwendo Na sikupanga imenibidi kulivua pendo Maana mwanzo nilidhani utabadilika Of course hakuna aliekamilika Masaa masiku miaka imekatika Nachukia kujiona nikilalamika Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi kurupushani Kama unajiona kichwa shingo nani Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi kurupushani Kama unajiona kichwa shingo na mimi sipendi Dharau manyanyaso Dharau masimango Dharau manyanyaso Siweziii siweziii Dharau manyanyaso Dharau masimango Dharau manyanyaso Siweziii Siweziii (Instrument) Mmmh Aah Oooh Aah Aaaah Yeah Me nilidhumu nafsi kuji kirihisha Nikiamini me mtu wa mtu Kumbe bora ninge chuku chuku Aaah kidogo Ninge fanya utukutu Moyo ndio ulikupa nafasi Chakusikitisha minacho ambulia ni maumivu tupu Bora ninge chuku chuku Aaah kidogo Ama ningewapa wakifanye supu Kwako nilikuwa nyendo sina Nikijua you are my destiny Sina wa kumtuzia heshima Kama hata wewe nitashindwa thamini Ni kweli utakwenda mazima Japo itakutwa ngumu kwamani Nitamisi michezo ya mama amina Yakucheza kwaku buruza ulimi Eeeh Mapenzi ulionipa wewe Walahi mimi sikutamani mwengine we wa kiapo Mwenzangu umebadilika wewe Japo minakupa kila utakacho Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi Na ndio maana hatuendani weeeh (mmh) Dharau manyanyaso Dharau masimango Dharau manyanyaso Siweziii Siweziii Dharau manyanyaso Dharau masimango Dharau manyanyaso Siweziii Siweziii Yaw yaw Dharau manyanyaso Manyanyasooo Yeeh iih KONDE BOY CALL ME NUMBER ONE THE MIX KELLER BAKHRESA
Writer(s): Ibrahim Abdallah Nampunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out