Top Songs By Ssaru
Similar Songs
Lyrics
(Ricco Beatz Mr. 808)
Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema
Juu venye nahema si mnajua kitu nimepewa
Nasikia mnasema ati Ssaru anapenda kupewa
Kaa wee ni wa Juja ukipewa lazima utapenya
Alafu nacheki support inakuja kwa wingi
Thank you banaa
Ma-dm kibao mamorio wamembao
Nataka hii kitu sana
Na venye nacheki tukiendelea hivi
Nitasema yes banaa, yes banaa
Morio leta biringanya banaa
Nilikuwa niwashow hizi ni mistari
Me sipendi hii kitu sana
Nikacheki nitaboo, nita-dissapoint
Mamorio wanapenda vagina
Ako wapi Zzero tufanyie collabo
Moja yenye itawachanganya
Akam na mandom tuchafue flow
Tukiwa mamoshi banaa
Moto sana
Utadhani ndani kuna bunsen burner
Nawanga mchana
Usiku nakesha nikichoma mashada
Ogopa banaa
Juu me ukinidiss tunakosana
Mi ni mtoto sana
Utaenda kamiti ukishikwa na mbang'a
Me najidai
Stakabadhi nimebeba utadhani ni ndai
Na niko fly
Me sina deni lakini bado unanidai mmhh
Unanidai unataka ngwai
Untaka zenye pedi ameniwahi
Venye uko high na uko na ndai
Kazi ni kuuliza mbona ni why
Nilisahau Hamisi
Ile design ulisahu kamisi
Kwanza joo nimekumissi
Kwanza ile wakati unashika matiti
We ndo unapeananga kissing
Mi huwa napendaga miti
Siku hizi ulichorea kiki
Uliacha kuseti kamenje kwa kiti
Kaza kitu ni fitting'
Chapa ni kama utalipwa majiti mmhh
Father mi ndio kipii
Saa finya finya ni kaa parachichi aaah
Kaa parachichi iko na kijiti
Venye inahang joo haijifichi
Na mi ni vajo staki ubishi
Kaa ulinikula ulikulanga missing'
Leo nimedunga G-String
Nimejileta nataka unidishi
Ahh nyama kwa nyama sipiki
Hii ndio ile nyama unakulanga mbichi
Clever ni kama hailiki
Kaa ni kisima joo si tuko fishing
Hii nyama kama hailiki
Mwenye anakula ni kama ni richkid
Ssaru mbogi ni KANU
Mi ndio nakujanga kuleta hamu
Daily nakujanga na mautamu
Ni za ki-Coasto kutoka Lamu
Bars ni ngori ku'shinda mbogi genje
Bars nachana utadhani ni veve
Makali inashinda ya wembe
Juu mi nalima hata kuliko jembe
Mi nawashika na sinanga wende
Juu mi ni OG nyi ni maembe ahh
Chura bishana na mende
Hapo unahang kama makende
Legendary mi ndio legend
Kaa hakakupei wacha kaende
Ssaru anakuwanga na utamu ya tende
Mi staki pizza nijenge tu sembe aahh
Siku hizi nimemea pembe
Nilizaliwa kaa sinaga nyege
Katambe wacha kaende
Kalambe kaa peremende
Kaa ni marapper mi ndio mkali hapa
Mi na-represent Khali kaa ako hapa
Juu nachana faster kaa Semenye Castor (Eeey eey eey)
Harambe mbogi ni genje
Kaa unanipenda nikembe
Nikaze nikameze tembe
Kichwa ni kama malenge
Mi nakutolea form
Uko na mzinga leta tu ndom
Mi nakupeleka home bro huwezani
Juu rende ni rong
Writer(s): Sylvia Saru
Lyrics powered by www.musixmatch.com