Lyrics

Ayayayaya... mkubwa na wanae na wanae Mkubwa na wanaawe na wanawe Macho yananiumiza roho Silali nisipokuona mi naumia roho Kwenye mapenzi hakunanga commando Unapokuwa mbali mi nazimiss show hayaayaya Nibusu nikubusu nikupeti peti chumbani Kukuacha sithubutu We wangu halali mwandani Nibusu nikubusu nikupetipeti chumbani kukuacha sithubutu we ni wangu halali mwandani Kwenye joto nipepee Ukichoka jilaze kifuani Vumilia my baby Tupatacho kidogo afueni Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni Niu niue Mahaba niue Niu niue Mahaba niue Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni Woowowowo Hiki kisiki cha mpingo cha mpingo Wowowowo Acha mwenzenu nicheke japo nnapengo Woowowowo Hiki kisiki cha mpingo cha mpingo Wowowo Acha mwenzenu nikenue japo nna pengo Wanavyo kupiga majungu Mwenzako natetemeka Naogopa wachina wazungu wakaja wakakuteka Wanavyo kupiga majungu mwenzako natetemeka aa Wasije wachina wazungu wakaja wakakuteka Niu niue Mahaba niue Niu niue Mahaba niue Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kifuani Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni Kwenye joto nipepee ukichoka jilaze kufuani Vumilia my baby tupatacho kidogo afueni Waogope walabata wakatuchukua Kama pesa tutapata My baby vumilia Waogope walabata wanakusumbua Kama mtonyo tutapata nasi tutatumia Woowowowo hiki kisiki cha mpingo cha mpingo Woowowo acha mwenzenu nicheke japo nnapengo Woowowowo hiki kisiki cha mpingo cha mpingo Wowowo acha mwenzenu nikenue japo nnapengo End
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out