Lyrics

(Sultan 001) Zile issue na kuimba imba Kwote maredio na runinga Nikaonekana kuwa bingwa Ila wapi bado Nikashauriwa kwenda Pemba Umezima moto kwneye kinga Yote kwa kufunga na kuomba Ila wapi bado mmmh Maneno ya kukatisha tamaa Kote navuma ila nalala njaa Kasuku alotumwa na Jah Leo yuko wapi amwokoe superstar Wapo walonishika mkono Governer Joho Kakangu kipenzi Gas na Susumila Maneno na minong'onono kazeni roho Msijali kwenye mziki kuna madhila Na na najua Alonitoa kwenye zege atanipandisha ndege Maisha ni hatua Jao leo segemnege ila Mungu nibebe Mi natuma barua kwa ndugu zangu Walodhani ndo tayari nimetoboa Bado zinanirarua shida zangu Maisha kwenye safari sio poa Bado Ningali natembea Bado sijachoka naelekea mimi Bado polepole nachechemea Bado wowowowo uwooo Bado ningali natembea Bado sijachoka naelekea mimi Bado polepole nachechemea Bado wowowowo uwooo Ata session nimepata man ile Kimungu Mungu Bado lipi bado kavu yaani kiuchungu chungu Labda ni gundu au kisa labda ni ngumu Labda humu napopita sipatii majukumu Mnaokuza talanta mko wapi ama ndio stori ya kujuana Au naandika sana au mnataka nisiwaimbie vya maana Kuroga nimeshindwa, mziki na dumba una laana Au nifanye kiki ndio niweze kujulikana Hapana lowa tu malichele ya kurudi Shoka halijakata gogo japo nimetumia juhudi Saa zingine inaniishia mpaka moodi Nishafikiria kuiacha ili niende kuitafuta kazi Sikutaka kuamini kuskika hadi jiji kuu Mambo na connection na promotion ziko juu Hivi mpaka lini tunakosa waekezaji Na kulala njaa na kutofaidika na hichi kipaji Wingi wa masikitiko Omba omba kwetu sisi ni mwiko Aiyee Abu asahau kiko Ndo katoto kapate kasisimuko Hivi ama kweli KO akili timamu Unakwazika moyo unatabasamu Japo ridhiki napata vyaja kwa zamu Ila kile kikulacho ndugu adamu Kukatwa katwa mapanga kufungwa nyororo Ila yote naridhia Sioni dalili za mwanga ila giza totoro Asubuhi imekaribia Mi natuma barua kwa ndugu zangu Walodhani ndo tayari nimetoboa Bado zinanirarua shida zangu Maisha kwenye safari sio poa Bado ningali natembea Bado sijachoka naelekea mimi Bado polepole nachechemea Bado wowowowo uwooo Bado ningali natembea Bado sijachoka naelekea mimi Bado polepole nachechemea Bado wowowowo uwooo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out