Top Songs By Young Lunya
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Performer
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Lyrics
Na wenyewe wanajua
Kile kinachofuata wakileta utata
Dada zao wanajua
Wakilaga kwetu kinachowapata
Na wenyewe wanajua
Kile kinachofata
Ndugu zao washajua
Kuwa haya ni madongo
Madongo madongo
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Mtaani wananiita mbuzi
Kisa maunyama
Oya noma
Baada ya bata
Kaomba laki nilichowafanya
Oya noma
Tako ni nyingi akaona
Giza la usiku mchana
Juice kama vile samecana
French kama vile montana
Ooops, bango likitokeza
Watoto nachange vikao
Sitaki uniite farao
Net sababu ya mwanangu
Faraoh pappy
Wakidondoka ni kweli
Hawaondokagi tunaangusha
Nao Skhuuuh
Nakushangaza eeeh mbona
Sifanani na alama ya mshangao
Hapo vipi hapo hapo
Sawa kama unavyoona
Tunapoa si wenyewe
Mambo chawa ni kama nilikupa
Full dose haijakuingia sawa
Sie tuko busy kureset mipango
Man, respect power
Na wenyewe wanajua
Kile kinachofuata wakileta utata
Dada zao wanajua
Wakilaga kwetu kinachowapata
Na wenyewe wanajua
Kile kinachofata
Ndugu zao washajua
Kuwa haya ni madogo
Madogo matata
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Mambo ya kasheshe
Mi sala mi sijui
Ukicheza na moto
Kinachofata mi sijui
Mambo ya kasheshe
Mi sala mi sijui
Ila ukicheza na moto
Kinachofata mi sijui
Eti wananiita bwana shamba farmer
Mboga ni nyingi zimenizoea
Kiasi kwamba sizifungi hata kamba
Nafasi ni chache ndo maana wengine
Unawaona wanapiga misamba misamba
Tukijipata na pesa tulizozitafuta
Wanatuita washamba
Na bado sijaplug na video za viwanja
Nashangaa mpo
Kasheshe misala mi sijui
Usije ukaleta mbwebwe
Nakukalisha asubuhi
That's why unaona tulivyotakata
Tunaogea na asali mixture tui
Huu siwezi ita uadui
Sababu unanijua mi sikujui
Yes
Na wenyewe wanajua
Kile kinachofuata wakileta utata
Dada zao wanajua
Wakilaga kwetu kinachowapata
Na wenyewe wanajua
Kile kinachofata
Ndugu zao washajua
Kuwa haya ni madongo
Madongo madongo
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Oya noma
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo
Lyrics powered by www.musixmatch.com