Lyrics

Wewe Shyboy Ghetto Taikun Kaa si kali si sisi Fatboy Oyaaa Hii maisha haina huruma Saba Aaah Mama ni wa kwako na nishamdandia Buda kula vako mi nisha kuambia Ana sura na matak' ka wa Tanzania Ukimsare kwa mataa si tunapandia Kama Race Tuko mdogo mdogo na anadai kama race Mkiss kwa kisogo na ma thigh mpaka face Mbio ya wakale na maasai tuna race Amefanya mpaka neighbour anadai na ni les' Mi sio fisi niliwashow ni ma daimono Vitu sticki ni huachanga kama konokono Nikiteka lele kundule ni huvaa kwa mkono Threesome, moja ka slim kengine ni ka nono Kamevaa mini ni ikuss anapiga promo Ushaipiga kitu ikatoa povu ka omo Na bila kakitu kitu haiwezi ingia shimo Chakula tamu ni ile inapikangwa na mwiko Bila pombe niuleweshangwa na itina Ndio maana sijali nikipeleka poko dinner Usikule pesa zangu ka utaninyima Na ka nakutambua utanikumbuka na mimba (Shyboy) Ni fisi ilihepanga kichaka Ikakuja jiji kukimbizana na paka, kiraka Ndio kenye inaacha ikipata Kama race anadai niende faster (wewe) Mama ni wa kwako na nishamdandia Buda kula vako mi nisha kuambia Ana sura na matak' ka wa Tanzania Ukimsare kwa mataa si tunapandia Kama Race Tuko mdogo mdogo na anadai kama race Mkiss kwa kisogo na ma thigh mpaka face Mbio ya wakale na maasai tuna race Amefanya mpaka neighbour anadai na ni les' Fatboy Vulae mpapa Wajibika baba Ako maji si we humtaka taka Usijali huyo ni chura ako juu ya waba waba Ahahaaa Ex ananishow martha anapenda Karen Ni kama mi na mind kuna wengi ma vifaa Na ntacum tu the same Alipata Paul lakini si Paul Walker So wacha ni ji nice Niki sip hii Johnny Walker Siwezi trust dem Wao hukua tu maswara Hii story joh ni toxic Baby mama joh ni mnati Hawezi tii amri Anasema ni mclassy Bila benz joh hawezi marry Peleka hiyo mbali Unaweza peleka mbali Mama ni wa kwako na nishamdandia Buda kula vako mi nisha kuambia Ana sura na matak' ka wa Tanzania Ukimsare kwa mataa si tunapandia Kama Race Tuko mdogo mdogo na anadai kama race Mkiss kwa kisogo na ma thigh mpaka face Mbio ya wakale na maasai tuna race Amefanya mpaka neighbour anadai na ni les'
Writer(s): Gerald Wauthi Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out