Credits
PERFORMING ARTISTS
Wangechi Waweru
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wangechi Waweru
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wangechi Waweru
Producer
KaxiOnTheBeat
Engineer
BCKGRND
Producer
Lyrics
Na hii ni, zile zile
Na hii ni, ah, zile zile
Na hii ni, yeah, zile zile
Mh na hii ni, yeah, zile zile
Cheki, na hii ni, na hii ni zile zile ngwai mi huwai
Hii ni zile zile peddy and hype
Hii ni zile zile zinashika kwa umbali
Na hi ni zile zile maban zitakubali
Na hii ni zile zile ngwai mi huwai
Hii ni zile zile peddy ana hype
Hii ni zile zile zinashika kwa umbali
Na hii ni zile maban zitakubali
Yeah, hizi ni zile zenye hazikai kama zao
Toka zamani si huzugushanga mazao
Fanya mzing azime ajipate kwa zao
Wananizoom wachunguze mzigo is how
Ka si legit bruh kaa na biz
Ndani ya zig bag cannabis
Utaona mazigzag utani miss
Makali mzinga zapa zii
Zinaingia na giz mchana hatufanyi kaz
Wanaulizia ngich zama wasipate chance
Zaidi ya mzik zunguka fanya research
Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash
Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (yeah, yeah)
Hii ni zile zile peddy ana hype (yeah, yeah)
Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (yeah, yeah)
Na hii ni zile zile maban zitakubali (yeah)
Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (zile zile)
Hii ni zile zile peddy ana hype (yeah, yeah)
Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (yeah, yeah)
Na hii ni zile zile maban zitakubali (zile zile)
Huwezi nipata zii
Ntabaki kua your fantasy
Toto ndogo nanikatia katia
Kata tenje buda kata simu
Funny nigga ushakua Churchill
Huna heshima huna courtesy
Hakuna kitu nimepata free
Kila kitu nimepata fee
Ni ngumu nisote nakinda zile ziko potent
Hizi ndio zile hufanya Embarambamba ajitupe kwa matope
Na usichoche, chunga usije kuwa content
Tukirecord tupostate, hio roho mbaya itoke
Zinaingia na giz mchana hatufanyi kaz
Wanaulizia ngich zama wasipate chance
Zaidi ya mzik zunguka fanya research
Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash
Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (yeah, yeah)
Hii ni zile zile peddy ana hype (yeah, yeah)
Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (yeah, yeah)
Na hii ni zile zile maban zitakubali (yeah)
Na hii ni zile zile ngwai mi huwai (zile zile)
Hii ni zile zile peddy ana hype (zile zile)
Hii ni zile zile zinashika kwa umbali (zile zile)
Na hii ni zile zile maban zitakubali (zile zile, yeah)
Lyrics powered by www.musixmatch.com