Lyrics

Robby vibe Secret Madiko diko nikikupa utajilambia Bandika bandua Utamu Kolea la la la la Nami napenda mkungu wa ndizi Tunyama kujisevia Jicho la kusinzia Siishi kodolea Umeniteka nyala aah Unanipa changamoto moto moto Nipo hali mbaya Njoo nipe kajoto joto Oh baby I'm on fire aah Nakupenda pia Nakutaka pia mpenzi weeh Unanipatia sijiwezi eeh Unanipatia sijiwezi eeh Mmh aah Nalala Utamu mpaka nalala Niongeze baby Niongeze mwenzio Nalala Utamu mpaka nalala Niongeze baby Niongeze mwenzio Unanipeti unanipeti fire Unanisakata Unaimiliki kaya kaya Unanichimbua mpaka ini anha Unanipindisha nyuzi tisini enhe Juu ya dirisha kabatini Na unanigalagaza sakafuni baby iih Tena unanipelekesha mpaka Sioni popote Nipo nyakanyaka Nakupenda pia Nakutaka pia, mpenzi weeh Unanipatia sijiwezi eeh Unanipatia sijiwezi eeh Mmh aah Nalala Utamu mpaka nalala Niongeze baby Niongeze mwenzio Nalala Utamu mpaka nalala Niongeze baby Niongeze mwenzio
Writer(s): Sophia Biboze Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out