Lyrics

Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Kuna tumaini tena kwa mti uliokatwa Kuwa unaweza ukachipuka tena Kuna tumaini tena kwa mti uliokatwa Kuwa unaweza ukachipuka tena Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Kama mifupa iliyokauka inaweza pata uhai Ezekieli kaambiwa aitabirie Kama mifupa iliyokauka inaweza pata uhai Ezekieli kaambiwa aitabirie Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Kuna tumaini tena kwa hali zinazoonekana Kama zimekufa zitaishi tena Kuna tumaini tena kwa hali zinazoonekana Kama zimekufa zitaishi tena Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tutaishi kwa imani Tukimtazamia Bwana tutaishi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out