Lyrics

Yoh, all along all along wanaliutifin east Hizi streets huu kijana Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi Na hatubanji area jamo na hatujuani Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo Na hii pose inaglow huu kijana All along all along wanaliutifin east Hizi streets huu kijana Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi Na hatubanji area jamo na hatujuani Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo Na hii pose inaglow Ha, ha, tangu zile vako those days Hata nakunjiva still na bado wako njeits Ha, no filter nikikemba menje High school nilikuwanga Dr. Mwenje We jua, ah, uko nje Ndio nijiumize kichwani labda finje finje Aaay, hii ndio life ya jiji Mnguna ka ni poko halali kwa baridi Nditni, speedy, mristi, mdigi We ain't kidding kwani we ni chizi nini? Blinking nini, bling bling mingi mangiri nikro denge danger dingy Uh, God bless the king, long live the queen Sky larkin' bila Clarks mi si Aladdin Zozanga bad B kama kawa mi ni zing Dr. Ring ding brrr this daily thing Yoh, all along all along wanaliutifin east Hizi streets huu kijana Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi Na hatubanji area jamo na hatujuani Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo Na hii pose inaglow huu kijana All along all along wanaliutifin east Hizi streets huu kijana Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi Na hatubanji area jamo na hatujuani Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo Na hii pose inaglow huu kijana Kama kawa tunajituma kwa sana Hatununui ganja tunaichuna kwa shamba Msupa wangu anakuwanga kagangster Akicheki mambang'a anasundaga kwa haga Tunaweza kukutuma we fala, huu kijana amekuja ni kama Ametumwa ubaya, si hatunanga haya By the way, mi na msupa wako hatujawachana Baada ya mboka hio ganji nijenge Nakuja na mboga ongeza maji sembe Walijaribu kutukazia tenee, ni warazi munaweza kalia kende I keep fighting usiku na mchana mi ni viking If I die I go to Valhalla 20k kwa ma Adidas sijavaanga, beef kibao inafanya nadai vana Yoh, all along all along wanaliutifin east Hizi streets huu kijana Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi Na hatubanji area jamo na hatujuani Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo Na hii pose inaglow huu kijana All along all along wanaliutifin east Hizi streets huu kijana Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi Na hatubanji area jamo na hatujuani Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo Na hii pose inaglow huu kijana Huu kijana ako lit, huu kijana ni riet Huu kijana ako biz, time yake usiiwaste Thor alinishow "what you see is what you get" Chenye naeza lose today by tomorrow naeza iget Slave niligraduate sai nafanya master's degree Fanya bidii ndio uachieve ka mi Ficha kila kitu tenje, njuta, shati hadi bling, eh Jif-jif-jifanye maskin' High sana kama Titus Naikuni Mi ndio aliniachia nihead Project Mawingu Uh, uh boomerang niliacha iende ikarudi Flight 420 ilibidi nicatch by saa kumi Unanimezeshea ukinimezesha hizo vitu Ice bloody nyekundu nakaa vampire usiku Ka uninitaja, ka uninitaja, ka uninitaja riu
Writer(s): Churchill Mandela Ogana, David Munga Ramadhan, Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out