Lyrics

... Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Mungu Baba ninakupenda Nawe wajua kweli nakupenda Tena shahidi wa maisha yangu Mungu kweli ninakupenda Sioni mwingine tena Ila wewe mtetezi wangu Mikononi mwako naiweka Roho yangu mwili na nafsi (Kweli Baba) Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Nashangaa kitu kimoja Mimi mwanao kweli nateseka Na wewe Mungu unaokabisa Uwezo wa kunisaidia Lakini umenyamaza kimya Japo sababu mwenyewe waijua Tena ni nzuri na mimi naamini Lakini ona jinsi nnavyoteseka Kweli Baba Nisaidie Yeesu nihurumie Roho wako aniongoze Nifike kwenye muujiza Mtume malaika wako Ili aje kupigana vita Mikael askari wa vita Aje anitoe Kwenye majonzi (Kweli Baba) Nisaidie Nisaidie Yeesu Nisaidie Jaribu hili linanitesa Uje haraka Uje haraka Yesu Uje haraka Uje unitoe kwenye majonzi Usichelewe Usichelewe Yeesu Ukichelewa nazidi kuteseka Uje unitoe Nakusubiri Nakusubiri Yeesu Nakusubiri njoo unitoe kwenye majonzi Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh uuuh Macho yangu yananiuma Ninalia machozi hayaishi Njoo yesu Mpenzi wa moyo Njoo unitoe kwenye majonzi Koo langu limekauka Ninakunywa maji Wala halipoi Juice pamoja na soda Njoo unitoe Baba kwenye majonzi Nisaidie Nisaidie Yeesu Nisaidie Jaribu hili linanitesa Uje haraka Uje haraka Yeesu Uje unitoe kwenye majonzi Usichelewe Usichelewe Yeesu Ukichelewa nazidi kuteseka Uje unitoe Nakusubiri Nakusubiri Yeesu Nakusubiri Njoo unitoe kwenye majonzi Usichelewe Usichelewe Yesu Ukichelewa nazidi kuteseka Uje unitoe Nakusubiri Nakusubiri Yeesu Nakusubiri njoo unitoe kwenye majonzi ... Uje unitoe (Rafik yangu) Yesu Uje unitoe (Mchungaji wangu) yesu Uje unitoe (Rafik yangu) Yesu Uje unitoe (Aibu hii) Yesu Uje unitoe Magonjwa haya Yesu Uje unitoe Huzuini yangu Yesu Uje unitoe Baba (Yesu) Uje unitoe... ...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out