Top Songs By Amkeni Fukeni Choir
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Amkeni Fukeni Choir
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Amkeni Fukeni Choir
Songwriter
Erastus Kipkebut
Composer
Lyrics
Mimi Yesu nimemtuma malaika kushuhudua
Maneno yale ya unabii yalionenwa na Yohana,

Aaah natazama, (naja upesi) oooh na ujira (na ujira) oooh wakumlipa
(Kila mtu) na kazi yake (na kazi yake) mimi mimi(mimi mimi) oooh ni
Ya Alphha(ni Alpha) oooh na Omega
(Na Omega) asema bwana (asema bwana).
Aaah natazama, (naja upesi) oooh na ujira (na ujira) oooh wakumlipa
(Kila mtu) na kazi yake (na kazi yake) mimi mimi(mimi mimi) oooh ni
Ya Alphha(ni Alpha) oooh na Omega
(Na Omega) asema bwana (asema bwana)
Naja upesi, shika sana ulicho nacho, usinyanganywe

Nasi tuimbe (si tuimbe) tumtukuze
(Tumtukuze) aliyekuja (aliyekuja) kutukomboa,

Na Yohana alikwenda kushuhudia, mambo hayo
Alipofika nakuyaona aliamu
Lyrics powered by www.musixmatch.com