Lyrics

Mbogi yote deep bling, tumepiga luku fisa na madini Kaa bila finyo tukiadisia mabling Na minoko zote ni mangoto ka sita Big black mister bling back mister big pole insta bad ka batista Fresh na di area, rada tukipita Tushapiga luku kuja tukule mapicha wanjapi Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi Piga luku kula mboto jump inna di photo Ni kama kuna joto vidole ni mangoto Mangoto moto moto, kwa mkono wa kushoto Clarks pon clarks ah mi gang fi di shine Mambati kwa wingi sijaomba ni za mine Lagunya Delta ma cat ziko fine Ka gwanda si oriji don't waste my time Mi tell my man say, tangu lini niparare mimi aje? Aah kombato usijali sanse halafu pale ig wakule update weeh Daily ni kaa ni Sunday maziwa mini na kajale aah Luku nilipiga ngware utanipata na ingine tena afte aah Fine ting niko freshi, thutha na majegi Comrade huna ticki? Kanairo utaishi aje luku nayo haitesi? Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi Piga luku kula wa wa Big baba nina mambwenya kila kaala Lola tisho jinare na gwanda Look fisa ju kuparara ni swara Luku diriba shingo inamwagika silvеr Ig iliboo after Vera apate mimba Umedunga nini ma Nike ama Addidas? Pandisia ma Tommyhilfigure Ebu smile for the camera aha aha Ni safi ju ni fast camera ehe ehe Step out all white kama table salt Mangoto mingi ady siezi kuona my fingers crossed Uki step on my J's sema iza Gikosh na toy si Garissa Zero ngovo na zile Fubu za Issa Men i've been fly kabla fb na insta baba Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi Piga luku kula wanjapi aha aha wanjapi Piga luku kula wanjapi wa wa wa wa wa wa wa wanjapi Sijui ni sijui ni sijui ni sijui ni tusker au ni pilsner hivi? Aaai Ndio inafanya naona mbili mbili Ate kee? Unataka nini? Aaai Kunipenda manze hiyo ni tricky aaai Bila uber kuna piki piki Halafu usitense basi take it easy aaai Sijui nibaki au nikuje hivi aaai Manze nimekunoki nimechizichizi aaai Nacheki buda niko stu aai Tena shashamane aah aah hi ni flu aah Wethe na ka shash na nimedi na crew Vile nimecladi wamepiga statue Manjapi na mashosho buda hadi babu Piga luku kula mboto ndio wajue iko new Bet na madid odds kidogo Man U Ati "What are we?" Kwanza "Who are you?" Aaai
Writer(s): Felix Omendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out