Lyrics

Yeeh yeeh yeeh Kapipo(shiiih) Pruuh mpaka makka nimefika aah Yanchaka chaka tika tika aah Aiih yan moshi pwika pwika Hujaniita naitika Napenda unavyokatika Ukishika namwagikwa(bomboclat) Kwenye sita kwa sita Spika inavyokita naridhika(bomboclat) Baby mwenzako moyo wangu wa kike Napenda nang'angania Yani mwenzako I like the way unavyonipatia Napenda unavyokatika Ukishika namwagikwa(bomboclat) Kwenye sita kwa sita Spika inavyokita naridhika(bomboclat) Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Malume na centrozone east zuu Naskia unataka mpini wa mtoto wa mtaani(onanaaah) Zidisha kidogo nikuweke ndani(onanaaah) Si unanipa siti ya nyuma kwa usukani(onanaaah) Napigilia nyavu naweka bampani(onanaaah) Mwambie haramu haizaliwi kwenye kitanda(si ndio) Huna msambwanda ila unachanda(si ndio) Mimi navyopiga deki wewe unailamba(si ndio) Sasa nionyeshe ujuzi wako wa kuucheza mnanda Jifanye mtoto wa mjini wakuone toy Si hatufosi wenzako wanataka kuchill na big boy Vitu moto moto kwenye foil Jua la utosi bila maelekezo baby hauopoi Ndo maana sijitusu kukuposti Kwa maana najua ukishaenda mjini itanicost Kuna wanangu mafisi Halafu kuna wanangu maboss Wanangu wakuslide wanapenda andaliwa msosi Napenda unavyokatika Ukishika namwagikwa(bomboclat) Kwenye sita kwa sita Spika inavyokita naridhika(bomboclat) Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Yeah yeyeeh yeyeeh yeyeh yeyeeh Boom And the good work has been done by Kapipo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out