Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mez B
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mez B
Songwriter
Lyrics
'Si kama vipi nataka kwenda nawe
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote tamashani honey twende tuka bless
Tabia hiyo naomba usiniletee
Jua mi siwezi kwenda nawe
Tafuta mwingine wapo wengi mitaani
Haiwezekani mi kwenda nawe
Wewe kwangu ndio nathamani
Ndio mana naomba kwenda nawe tamashani
Mchumba we usinizuge
Tena kama vipi naomba ukaoge
Kaka mi sitaki
Mambo hayo nimesema mi sitaki
Yataniumiza tena pisha
Tena naomba uachane na mi kabisa
Tatizo nini mama
Linasababisha unakataa
Wewe ni wangu mamaa
Ukikataa utaninyima raha
'Si kama vipi nataka kwenda nawe
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote tamashani honey twende tuka play
Tabia hiyo naomba usiniletee
Jua mi siwezi kwenda nawe
Tafuta mwingine wapo wengi mitaani
Haiwezekani mi kwenda nawe
Kama vipi bora kubali mchumba
Uende ukawaone wanachemba
Wakiwa stejini wakitamba
Toka East Zuu
Yani wana rap na kuimba
Aaah kumbe basi itakuwa burudani
Kama wanachemba wote mtakuwa nanyi
Haidi kuwa pamoja nami
Usiniletee mapepe tukifika tamashani
Sijui nielewe watakuwa nanyi
Sijui itakuwaje fujo mitamboni
Nami nakuita sinyorita
Twende wote tukabaliz na kula bata
'Si kama vipi nataka kwenda nawe
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote tamashani honey twende tuka bless
Basi pia njoo chumbani tuvae
Nimekubali tu mimi kwenda nawe
Ni furaha kuwa nawe tamashani
Honey twende tukabless
Usione aibu kwani ndani tumeshafika
Sogea Karibu kata kiuno tingishika
Njoo tucheze cheze kwa mapozi huku ukideka
Ringa ringa zungusha kiuno mtoto wa Afrika
Basi kama vipi manzi njoo tuzame dip
Napenda usiwe na bif nioneshe unavyonitenda
Zip mi nakwenda na Jip hizo siwezi kuskip tawaumiza wanachemba
Uma leo umetoka sexy
Umengaa ndani ya hizo pamba nyepesi
Huku ni Mez B pembeni na Ray C
Ni Nura njoo tungae wote baby
'Si kama vipi nataka kwenda nawe
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote m tamashani
Honey twende tuka bless
Basi pia njoo chumbani tuvae
Nimekubali tu mimi kwenda nawe
Ni furaha kuwa nawe tamashani
Honey twende tukabless
Lyrics powered by www.musixmatch.com