Lyrics

Yesu kwako ninalia nitakufa ukiona wako nisogeze eeeh hivi hivi nitwae ×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae nina dhambi na sifai damu yako natumai naja hivi hukatai hivi hivi nitwae×3 wokovu nisogeze eeya hivi hivi nitwae kijito cha utakaso ni damu ya Yesu Bwana anao uweza kunipa wokovu kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso×2 Ni neema ya ajabu kumpa mwanadamu kabla Yesu kumjuaa Yesu kuwa msalabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out