Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Bonny Mwaitege
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bonny Mwaitege
Songwriter
Lyrics
Sawa
Tuko sawa
Mbele za Mungu
Tuko sawa
Mungu wetu anapenda usawa
Alituma binadamu wote sawa
Tusisabubuane
Sawa
Tuko sawa
Ooh Tuko sawa tu
Mbele za Mungu
Tuko sawa
Tuko sawa
Mungu wetu anapenda usawa
Binadamu wote sawa
Alituma binadamu wote sawa
Tusisabubuane
Naumia unavyonidharau
Naumia mimi unavyonitenga
Naumia ndugu yangu unavyonidharau
Wakati mimi nakweshimu
Kumbuka Mungu
Ni Mungu usawa
Alituma binadamu wote sawa
Kumbuka Mungu
Ni Mungu usawa
Binadamu wote tunazaliwa sawa
Sawa
Sawa
Tuko sawa
Ooh Tuko sawa
Mbele za Mungu
Tuko sawa
Tuko sawa tu
Mungu wetu anapenda usawa
Anapenda usawa Mungu
Alituma binadamu wote sawa
Tusisabubuane
Acha kunitenga, bwana, sisi wote ni sawa
Sawa
Tuko sawa
Ooh silitenge
Mbele za Mungu
Tuko sawa
Tuko Sawa tu
Mungu wetu anapenda usawa
Ooh usawa
Alituma binadamu wote sawa
Tusisabubuane
Ooh
Mbona huyu unamheshimu
Sisi wengine unatudharau
Mbona huyu unamsalimu
Sisi wengine unatupita
Mbona huyu amepewa kiti akae
Sisi wengine tunapewa matofali
Ndugu yangu, Mungu ni Mungu usawa
Binadamu wote tuna saliwa watuku
Kumbuka Mungu
Ni Mungu usawa
Ndio maana wote tuna ujakifo
Kumbuka Mungu
Ni Mungu usawa
Ndio maana kuna anaye zaliwa na zote
Ndugu yangu, Mungu ni Mungu usawa
Alituma binadamu wote sawa
Sawa
Sawa
Tuko sawa
Ooh Tuko Sawa
Mbele za Mungu
Tuko sawa
Mungu wetu anapenda usawa
Alituma binadamu wote sawa
Tusisabubuane
Acha kunitenga, bwana, sisi wote ni sawa
Sawa
Tuko sawa
Ooh silitenge
Mbele za Mungu
Tuko sawa
Tuko Sawa Tu
Mungu wetu anapenda usawa
Ooh usawa
Alituma binadamu wote sawa
Tusisabubuane
Writer(s): Boniphace Mwaitege
Lyrics powered by www.musixmatch.com