Lyrics

(C9 and one) Story yangu nilishakwambia, nilishawahi kuumizwa, ah! Nikayumba na dunia, kwa penzi la dhuluma, ah! Nashukuru wanipenda sana, karibu kwenye yangu dunia (yule) Aliniacha kwenye jangwa (yule), sina hata maji (yule) Nikajiita mkosaji (yule) Si mara ya kwanza hii Penzi letu lilipea imebaki story Kila neno nililomwambia alikubaki kichwani, sasa Ni wewe ul'onifanya naimba Ni wewe sijakosea kupenda Ni wewe unaenifanya nahema, aah Ni wewe ul'onifanya naimba Ni wewe sijakosea kupenda Ni wewe unaenifanya nahema, aah Nilipokufata nilikwambia Hata mateso hutoyasikia Bila kuwaza ukanipokea (uh, uh, uh, uh) Si mpofu kupapasa baya na jema wavijua Pasipo na njia uonyesha nia Kwa maneno yoyo Una malengo na mipango na viapo ndivyo Nafurahi rohoni (lelo) Sikumbuki zamani (lelo) Umeibeba ramani (lelo) Ya mapenzi duniani Si mpofu kupapasa baya na jema wavijua Ni wewe ul'onifanya naimba Ni wewe sijakosea kupenda Ni wewe unaenifanya nahema, aah Ni wewe ul'onifanya naimba Ni wewe sijakosea kupenda Ni wewe unaenifanya nahema, aah Ulinikuta kwenye jangwa, ukanipa maji Mahututi sio wa kupumua, ukanipa uhai (aah) Nikapata nguvu mpya, nikapooza makali (aah) Maumivu uliyoyakuta yamekua asali Aya ya-ya-ya, nafurahi rohoni (lelo) Sikumbuki zamani (lelo) Umeibeba ramani (lelo) Ya mapenzi duniani Si mpofu kupapasa baya na jema wavijua... Ni wewe ul'onifanya naimba Ni wewe sijakosea kupenda Ni wewe unaenifanya nahema, aah Ni wewe ul'onifanya naimba Ni wewe sijakosea kupenda Ni wewe unaenifanya nahema, aah Ni wewe Ni wewe Ni wewe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out