Lyrics

Mmmh mmmh nahis nahis dunia imenihadaa na uogaa ibiliss ibilis Kichwani amenijaa natamani kukurogaa mmh wa kunisifia sina maji Yamenizid kina ona nazama nani aniokoee kabisa umekata Shina umenitosa mazima umemwaga na mtama kuku waudonoee Sisikii la mwazin wala la mnadi swala Juu yako wewee Na sijutii mangapi tumefanya gizani walaa shaka uondoee Ila naijutia tattoo tattoo Niliyokuchora tatoo tatoo Mmh mwilin mwangu eeh leo imekula kwangu
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out