Top Songs By Diamond Platnumz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
KGT
Producer
Lyrics
Cha! Ah!
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
Tai!
We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua
Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua
Isije siku miezi, naye akanisumbua
Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutua
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda
Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
Wakanicha wakaenda
We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani? (Cha, ah!)
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
Yasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti-peti
Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama Jokate
Ila sauti ka' Wema akiwa analia, kicheko kama cha Fetty
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda
Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
Wakaniacha wakaenda
We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Wamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini
Nimpende nani? (Cha, ah!)
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh)
Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?)
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (mama-ma, eh, eh)
Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?)
(We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua)
(Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua)
(We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua)
(Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua)
Writer(s): Diamond Platnumz
Lyrics powered by www.musixmatch.com