Lyrics

Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Home leo utanipata jo, sitatoka Kuandika ngoma si unajua siezi choka Miezi sita nimekuwa kwa studio nikishughulikia Ngoma yako wee kamu, si unaiskia Vile iko poa kwanza kabisa hebu hiyo jacko yako toa Kuna siri yoyote naeza like niambie, toboa Ushai guzwa mahali jo ukaskie kukojoa Leo mi na wee au sio, poa poa Umesahau home ambia ule konkodi atakudondoa Kwetu hapo nje na gate yetu si ya blue Ni ya orange third floor wee angalia tu juu Lakini uchunge huku ni calif watu wanaeza shuku Wee ni mgondi ukakatwa shingo style ya kuku Hiyo kichwa yako inachemshwa wazee wanakunywa supu Naeza tembea chupa zimevunjika, mguu tupu Nijifanye sugu Sabu yako tu, sabu yako tu Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Ushai chotwa na gari Niko poa sana sijakucheki ni ka nimechotwa na gari Niambie leo tu utakam jo tafadhali Home hakuna bathtub, si shower afadhali Leo lazima inibambie wapi, kwa bafu Na round hii niko mbele usifanye niongee uchafu Chali yako leo lazima atajua maana ya bafu chafu Nyama choma leo tunaikula hivo kavu kavu Wee kamu tu, wee kamu tu Wee ni mpoa tu sana mbona choo huendangi Na ka wee huenda kitu hutoka niekee kiasi chake Cream hapo hapo na usiseme jo mi huvuta bhangi Kutoka home leo nywele yako itakuwa shaggy Mtu yoyote akikuuliza Ulikuwa wapi Utasema nini Utasema nini Nilikuwa natuma salamu kwa baba na mama kwa kina Nonini Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Una food poa hapa na (unapika) Na usivae jeans zimeku (zimekushika) Juu ya meza leo lazima uta (utakatika) Bila kitu tukiskiza maneno (maneno kwisha) Na ukuje pekee yako jo usikuje na beste zako Staki kombi leo nakutaka wee pekee yako Usiseme unaenda wapi, staki noma na mathako Sema unaenda libu, staki noma na budako Anajua si ni mabeste na hiyo ni poa Nikifungua mlango tu hivi anza kutoa Si unakumbuka ile chakula nilikuambia inaeza ngoja Kuna ingine tamu hapa ukitaka unaeza onja Pole pole jo hujui inaweza kunyonga Umejaza mingi kwa mdomo mpaka unashindwa kubonga Tulia tulia Tulia tulia Wacha nifungue mlango kuna mtu anagonga Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu) Leo niko kwa keja (kamu) Sitoki hapa (wee kamu) Kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)
Writer(s): Hubert Nakitare Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out