Lyrics

For real Yeah yeah yeah yeah Yeah yeah yeah Kwa Benzo mdogo mdogo Kenya imejaza mapothhole Naenda kuiwasha kidogo Usoro ni mingi napitia maorosho Ndo wifey ametoka kwa soko Amekuja na stoko Wako ameshinda kwa social Na uko msoto siku hizi ni poko Hater anashikwa kilocal Cha UG kibongo Nilimpata akitoa lock Mairungi kinongwe Ngeta anapigwa mangoto Huna pesa na umeshinda kwa local Unasumbua watoto wadogo Ulifanya karibu nipigie mapopo Zii zogo ni zogo kuja umworoto Siku hizi wanasema ni portmore Nimekula kokoto kushinda msoto Magoro zinapigwa makoto Baby jichunge hii kitu ni nono Isitume niruke libobo Naseti kikolo zifike kwa bongo Alafu nadunga ya ngolo aaah Kwanza umekuja na juja mbonoko kuteka ngoko Mbleina wa IG na mamboto za Oppo Nikukumbuka ilikuwanga ni ndoto Manze mi hujieka lonso Vijana wa YOLO there is no tomorrow Mrenga tunaiweka off road Baada ya ngasha paka sabuni sinaga lotion Inawawasha nina kiburi sina emotions Msupa kigoco lakini vile ameng'ang'ana na ngoso Napiga mhuri vizuri hii kitu ni bombo Kwa kioo nacheki Livondo Amebeba mang'ondo kwa kiondo Kidosho amecheki Rong Rende ndio logo Mpaka yaani joto ikadonjo Kabla ya jaba na jojo Lazma nichafuange chapo na dondo Tumbler najaza na kongo Nawasha ganja nitoe uso mmh Hapa utapewa masomo We si baraka mama yako ni muongo Ita mroro weka ndombolo before wafike nimepika raw Kiboko yangu si normal Oh no Anaitaka na eti anaitaka raw Ati alale na aende tomorrow Pole baby kwangu huezi doz Hapa utapewa kisogo Mbona mbona unapendanga maimbo Alafu unakuja na usoro Na kelele mingi ni kama ding'oing'o Nazozanga king-size solo Thika road hapo mbele ya Ruiru Mr Riz mangwai you don't know Na nitaendelea hivo hivo Kwa Benzo mdogo mdogo Kenya imejaza mapothhole Naenda kuiwasha kidogo Usoro ni mingi napitia maorosho Ndo wifey ametoka kwa soko amekuja na stoko Wako ameshinda kwa social Na uko msoto siku hizi ni poko Hater anashikwa kilocal Cha UG kibongo Nilimpata akitoa lock Mairungi kinongwe Ngeta anapigwa mangoto Huna pesa na umeshinda kwa local Unasumbua watoto wadogo Ulifanya karibu nipigie mapopo
Writer(s): Unknown Unknown, Alex Kimani Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out