Lyrics

Nasema moto moto(moto) Tunauwasha(moto) Hauzimiki(moto) Nasema moto(moto) Jamani moto moto(moto) Watoto wa Tandale(moto) Watoto wa Kinondoni(moto) Wanangu wa Mbagala(moto) Asa timua vumbi Oga vumbi Wahuni vumbi Mi sijaona vumbi Watimulie vumbi, We! Asa koboa koboa, naisaga Naikoboa koboa, naisaga Nasema koboa koboa, naisaga Asa koboa koboa, naisaga Twende koboa koboa, naisaga Yaani koboa koboa,naisaga We ikoboe kwa chini, naisaga Naikoboe kwa juu, naisaga We ikoboe kwa mbele, naisaga Eeh ikoboe kwa nyuma, naisaga Aruup! Oya ni bia tu moja imemponza Kimbele mbele Kajipeleka tu mwenyewe hajatongozwa Kimbele mbele Majambo, wamemnawa Wahuni, wamemnawa Oh wazee wa chodo, wamemnawa Wakimakondi, wamemnawa Wakandundindu, wamemnawa Wale pale, wamemnawa Wajerumani, wamemnawa Wazee wa ndindi Moto moto(moto) Moto moto(moto) Moto moto(moto) Moto moto(moto)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out