Lyrics

Ninapoanza safari yakwenda mbinguni, moyoni mwangu najawa na furaha Mwendo wa kasi sote tutapaa juu angani kama washindi tutanyakuliwa juu Yesu akifungua malango yake na kukaribisha washindi wa dhambi Kwa mwendo wa aste malango ya lulu karibu nyinyi ni washindi (kwa Mwendo) kwa mwendo wa aste malango ya lulu karibu nyinyi ni washindi Ninapoanza safari yakwenda mbinguni, moyoni mwangu najawa na furaha Mwendo wa kasi sote tutapaa juu angani kama washindi tutanyakuliwa juu Yesu akifungua malango yake na kukaribisha washindi wa dhambi Kwa mwendo wa aste malango ya lulu karibu nyinyi ni washindi (kwa Mwendo) kwa mwendo wa aste malango ya lulu karibu nyinyi ni washindi (Taratibu) taratibu tutakanyaga pale, malaika wakizipuliza tarumbeta Yesu mwalimu mkuu atatuimbisha wimbo mpya Imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Imbeni) imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu Nikishaingia mbinguni kwa Mungu Baba, Maswali moja kwa moja 'tauliza, Kwa nini kanifimia mimi mdhambi? Mbona kaacha utukufu mbinguni? Nitamtazama Yesu wangu pale kisha nitamuomba viganja Zake, nitapiga mbiu na vigelegele zaidi kweli nitafurahi, (Nitapiga) nitapiga mbiu na vigelegele zaidi kweli nitafurahi (Taratibu) taratibu tutakanyaga pale, Malaika wakizipuliza tarumbeta Yesu Mwalimu mkuu atatuimbisha wimbo mpya Imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Imbeni) imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Taratibu) taratibu tutakanyaga pale, Malaika wakizipuliza tarumbeta Yesu Mwalimu mkuu atatuimbisha wimbo mpya Imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Imbeni) imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Taratibu) taratibu tutakanyaga pale, Malaika wakizipuliza tarumbeta Yesu Mwalimu mkuu atatuimbisha wimbo mpya Imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Imbeni) imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Taratibu) taratibu tutakanyaga pale, Malaika wakizipuliza tarumbeta Yesu Mwalimu mkuu atatuimbisha wimbo mpya Imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu (Imbeni) imbeni malaika sifa za Bwana jina la peke kwetu ni Yesu (Pamoja na wote) walioshinda Dhambi na mauti tutakanyaga kwa utaratibu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out