Lyrics

Mmh mmh aaah Kwengine sitamani Ile ahadi ulonipa moyoni Nahisi ni shetani Alie badili mawazo kichwani Mmmh! Ona mapenzi ni mfano wa dimbwi Nimezama ni vigumu kutoka Mmmh! Ona nakesha ni kama bundi Nikilala kuna kitu nakiota Umenipa upofu ningali hai Mboni zangu unaniumiza Ukanipa donda ndugu Moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza Umenipa upofu ningali hai Mboni zangu unaniumiza Ukanipa donda ndugu Moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza Mbona silali Kisa mawazo mwenzako sili Ona watoto nyumbani Wanauliza wapi mommy Ona mbona mbona silali Kisa mawazo mwenzako sili Ona watoto nyumbani Wanauliza wapi mommy Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo Lakini siwezi Nahisi kama ndo nitazidisha mawazo Na maumivu ya mapenzi Mbona silali Kisa mawazo mwenzako sili Ona watoto nyumbani Wanauliza wapi mommy Ona mbona silali Kisa mawazo mwenzako sili Ona watoto nyumbani Wanauliza wapi mommy Oh oh oh eoh (oooooh) Oh oh oh eoh (rudi nyumbani) Oh oh oh eoh (rudi nyumbani) Oh oh oh eoh (tuishi wawili) Oh oh oh eoh (aah tujenge famili) Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani) Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa) Oh oh oh eoh (oooooh) Mizizi ya mapenzi moyoni Umekata kwa kinywa chako Huwezi kujua machoni Kama nimemisi pendo lako Ona macho yangu yalivonyauka Kwakutazama penzi linalozamia Mmmh nimechoka kulalama Nahisi kama unanionea Nyimbo za hisia na mawazo Kichwani bado zinajitunga Napo jiuliza nini chanzo Naumia naona bora kuimba Wanipa tabu ya kusafisha kaniniki Wakati rangi inajulikana Naninashindwa usingizi sipati Nakosa raha usiku mpaka mchana Mmh hey (hey) Mbona silali Kisa mawazo mwenzako sili Ona watoto nyumbani Wanauliza wapi mommy Aah ona mbona silali (mbona silali) Kisa mawazo mwenzako sili (ah mwenzako misili) Ona watoto nyumbani (ah watoto nyumbani) Wanauliza wapi mommy (uuuh uuh uuh) Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo Lakini siwezi Nahisi kama ndo nitazidisha mawazo Na maumivu ya mapenzi Mbona silali (ooh mbona silali) Kisa mawazo mwenzako sili (mwenzako misili) Ona watoto nyumbani (aah watoto nyumbani) Wanauliza wapi mommy (wapi mommy) Mbona silali (mbona silali) Aah kisa mwenzako mi sili Aah ona watoto nyumbani Wanauliza wapi mommy (ooh ooh ooh) Oh oh oh eoh (oooooh) Oh oh oh eoh (rudi nyumbani) Oh oh oh eoh (rudi nyumbani) Oh oh oh eoh (tuishi wawili) Oh oh oh eoh (aah tujenge famili) Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani) Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa) Oh oh oh eoh (oooooh)
Writer(s): Richard Martin Lusinga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out