Lyrics

Nashidwa hata kudanganya Moyoni nilivyo kupokea, eh Faraja ulivyo itimiza Hakuna atakayeweza fikia, eh Hakika umeyakamilisha Yale yote niliyo yatafuta, eh Na moyoni nimekukubalia Kwa lolote utakalojisikia, eh Kumbuka, yale walosema Natuone sasa, kama mwisho utafika Kumbuka yale walo sema Natuone sasa, kama mwisho utafika Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Pokea, ninayo kueleza Moyoni, yote uyafikishe, eh Tabasamu, unalo nipatia Hilo ndilo, linalo nifikisha, eh Wabaya, usiwasikilize Wanalengo, la kutusambaratisha, eh Na mapenzi, hayana muamana Rekebisha, unapo fikiria, eh Kumbuka, Yale walo sema Natuone sasa kama mwisho utafika Kumbuka, Yale walo sema Natuone sasa kama mwisho utafika Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama Ah yeah, Mimi na wewe Tupendane mpaka siku ya mwisho Hadi watu washangae, maama
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out