Music Video

Blvck Queen - Tekenya
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Blvck Queen
Blvck Queen
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jackline Julius Nyamraba
Jackline Julius Nyamraba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sage
Sage
Producer

Lyrics

TEKENYA Msiulize why nampenda sana Kuna kitu nampa inamtekenya Msiulize why ananipenda sana' Kuna kitu nampa inamtekenya Ina ina (inamtekenya) Ina ina (inamtekenya) Ah nishike kwa hapa kwa pale kwa hapa Kila nikikuona nahisi tuninawashwa Kudadake kama ni mtego nimenaswa Aki sio utani nikoreal ninaapa Unawekaga ninimbona tam ka ndimu Tukimalizaga ndo zinanipastimu Nikitry nikuache nahisi napata wazimu Aki we ndio una unanifanya mi leo napenda gym Kila place yenye utaenda ntakufata Kuna kitu wewe ukonayo mi nataka Inayonifanya everytime nina data Bond kali kama vilelitenga na kata Ina ina (inamtekenya) Ina ina (inamtekenya) Najua huna ndinga huna dollar Nakama ni tatoo nitakuchoraa Minataka tango dio dollar Nikikukosa nitaugua baipollar Tupige za chuga yechu yechu Nakesho nikutambulishe kwetu Usherati ulinizidi we hujui tu Na leo nimeokoka nimeokoka nampokea bwana Yesu Kila place yenye utaenda ntakufata Kuna kitu wewe ukonayo mi nataka Inayonifanya everytime nina data Bond kali kama vilelitenga na kata Msiulize why nampenda sana Kuna kitu nampa inamtekenya Msiulize why ananipenda sana' Kuna kitu nampa inamtekenya Ina ina (inamtekenya) Ina ina (inamtekenya)
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out