Music Video

Blvck Queen - Kichwa Kimejaa
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Blvck Queen
Blvck Queen
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jackline Julius Nyamraba
Jackline Julius Nyamraba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sage
Sage
Producer

Lyrics

KICHWA KIMEJAA Kichwa kimejaa,Kichwa kimejaa Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe Kichwa kimejaa, shida, madeni tele Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe Kichwa kimejaa, shida, madeni tele Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa Kichwa kimejaa Kichwa kimejaa mastress maujinga mpaka nawaza nitapona lini Nishatumiaga maganja mashada ma jaba lakini akiponi kwanini Nilienda kwa dokta nilichoambulia ni sindano panado madawa kwinini Ata nikitry ile kumeditate ndo kwanza mawazo yanajipiga pini Kichwa inawaza mapenzi kutrendi weekend na bado sijalipa madeni Inawaza marafiki mawaki masnichi na bado inadai niendelee kuspend Hakuna ata space imebaki,eeh Ata kwa mfuko sina 30, eeh Rafiki nae kunitumia ataki Kichwa bado inadai niendelee kuparty Kichwa kimejaa,Kichwa kimejaa Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe Kichwa kimejaa, shida, madeni tele Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe Kichwa kimejaa, shida, madeni tele Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa Kichwa kimejaa Sasa mwenye nyumba kanvuruga akili kashanitia stress kumkwepa siwezi Apo na bebe kashaniwakia mida ya saa 9 anataka mapenzi Kunakiwanja nilinunua laki huu mwaka wa 6 sijaanza ujenzi Kila nakopita mi nadaiwa ooh my God this is cryz Mbona kila mechi nacheza fresh lakini maisha yameniweka benchi Hali niliyonayo kwa sasa hivi ni sawa na mchaga anasahau chenchi Hakuna ata space imebaki,eeh Ata kwa mfuko sina 30, eeh Rafiki nae kunitumia ataki Kichwa bado inadai niendelee kuparty Kichwa kimejaa,Kichwa kimejaa Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe Kichwa kimejaa, shida, madeni tele Kichwa kimejaa, mapenzi, pesa, starehe Kichwa kimejaa, shida, madeni tele Kichwa kimejaa, kichwa kimejaa Kichwa kimejaa
Writer(s): Jackline Julius Nyamraba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out