Lyrics

Uh Amka usiku wa manane Kuna mateso usiku wa manane Uh Inuka usiku wa manane Kuna neema usiku wa manane Usiku wa manane, usiku mtulivu (Shetani) Anavyoutumia kuleta huzuni (mateso) Wagonjwa wengi sana huzidiwa (usiku wa manane) Na tena wengi wao hufariki (usiku wa manane)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out