Listen to Tena (feat. Cedo) by Maandy

Tena (feat. Cedo)

Maandy

World

412 Shazams

Lyrics

Woo woo Kabaya Cedo (Cedo) Uta nini? Kwani unashtuka (shtuka) Ati how do you do that? (How?) Mh aha follow the leader (leader) Ongeza volume wapi speaker (speaker) Tuko round two tunawasumbua tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Te-te-te-te-tena Ninarudi tena mafuns wanaipenda Mahater nawacheka, Kabaya big spender Kabaya big daddy, Kabaya atafanya ufanye vitu haupendi (Excuse me), wewe unabinga kama nani? I see you haha mi sioni nini funny Itabidi uobey na uskize generali Story ni za jaba utadhani tuko rally Aaha, vibes unapewa dose Kali Apana sumbua watu na maswali ya askari Jiji tulitesa 'fore budako abuy gari Doba ka ni kali tuitrend ka Kanyari, akinya nani Kwani unashtuka (shtuka) Ati how do you do that? (How? Mh aha follow the leader (leader) Ongeza volume wapi speaker (speaker) Tuko round two tunawasumbua tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Te-te-te-te Acha nikue serious sasa Nakabla niendele mi nadai answer 'Lisema goodnight mschana saa saba Lakini amenipata bukla na mbaba, we ungedo? Ndio usurvive jiji unahitaji hesabu flani Si one plus one, ya kuvuruga hi ganji Probability ya zero mob kabla decimal Na sio fine x umuweke kwa ki angle Mode wa geo alisema sitawai make it Ok, bado sijamake it Ok, lakini mi ni mdeadly And when I say am the best in KE oh I ment it (woo) Kwani unashtuka (shtuka) Ati how do you do that? (How?) Mh aha follow the leader (leader) Ongeza volume wapi speaker (speaker) Tuko round two tunawasumbua tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Te-te-te-te-tena You wanna get like us, you wanna get money Soft life sweet life bila asai You wanna get like us, you wanna get money Soft life sweet life bila asai Kwani unashtuka (shtuka) Ati how do you do that? (How?) Mh aha follow the leader (leader) Ongeza volume wapi speaker (speaker) Tuko round two tunawasumbua tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Tena (tena) Te-te-te-te-tena
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out