Lyrics

Speso Sio shida zangu mi amenitaka mwenyewe Si amenishobokea Sio shida zangu amejileta mwenyewe Si aliniongopea Ukinipea nakupea vile tunapeana Aah Kama Mapacha vile tunafanana Aah Moyo wangu vile unagongana Aah Ukija niacha moyo utakupa laana Habibi Habibi Welcome to Dubai Habibi yalla yalla habibi Welcome to Dubai Habibi Habibi Welcome to Dubai Habibi yalla yalla habibi Welcome to Dubai Overdose me your love overdose me Vile unanikaa rohoni ume ni overdose Yani ndio maana huniishi kunijia kwenye njozi Fanya hima unibebe Masebene Kitandani shoot za umeme Nawaza niseme ila kanikanya nisiseme Ukinipea nakupea vile tunapeana Aah Kama Mapacha vile tunafanana Aah Moyo wangu vile unagongana Aah Ukija niacha moyo utakupa laana Welcome to Dubai Habibi yalla yalla habibi Welcome to Dubai Habibi Habibi Welcome to Dubai Habibi yalla yalla habibi Welcome to Dubai
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out