Lyrics

Hello! Napo vipi sijui unanisikia? Hello! Nnamaneno natamani kukwambia Hello! Tafadhali usije nikatia Hello! Ona mpaka nasahau kusalimia Habari gani leo nmekumbuka sana Na mama yani twakuwazagaa Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana Na aunty Shani wa chimwagaa ah ah Kile kidonda changu cha roho bado kinatia tabu Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu Tena silali oh nasubiri maajabu Maumivu yangu ayajapata dawa... I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh... I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh Na roho yangu mama (bingili bingili) Ah nikikuwaza (bingili bingili) Nikisinzia (bingili bingili bayoyo) Oh nikilala (bingili bingili) Inama inuka uwoh (bingili bingili) Yani sina raha (bingili bingili bayoyo) Ah iyeeeh ah iyeeeh Tatizo kwetu sijui nini kosa langu Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga Nawaza ila siambui ama shida zangu Simba nikawa chui mi roho inaniumaga Yawezekana ahadi zangu zisizotimia Ndio maana haukutaka kusubiria Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia Chai mchana usiku dona kurumaghia Nilitamani sana ila nguvu yangu palinishia Ningalikua na uwezo ningekutimizia Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh Nakumkumbuka iyeeh iyeh nakumkumbuka sana Ooh... I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh Na roho yangu mama (bingili bingili) Ah nikikuwaza (bingili bingili) Nikisinzia (bingili bingili bayoyo) Oh nikilala (bingili bingili) Inama inuka uwoh (bingili bingili) Yani sina raha (bingili bingili bayoyo) Ata nikila (bingili bingili) Nikikuwaza (bingili bingili) Nikilala heeh (bingili bingili bayoyo) Ona roho mama (bingili bingili) Ah nikikuwaza (bingili bingili) Nikisinzia (bingili bingili bayoyo) Heeeh! Roho yangu mama (bingili bingili) Heh heh heeh! (Bingili bingili) Heh heh heeh! (Bingili bingili bayoyo) Oooh roho yangu mama (bingili bingili) Inama inuka uwoh (bingili bingili) Chibu sina raha (bingili bingili bayoyo) Ah ata nikila!
Writer(s): Eliot John Kennedy, Georgie Jane Dennis, Peter Armstrong Lincoln Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out