Top Songs By Nadia Mukami
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Performer
Arrow Bwoy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Ali Yusuf
Songwriter
Lyrics
Yea yea (They call me Arrow Bwoy)
(Nadia) (Vicki Pon Dis)
Macho nimelegeza mdomo nauma kwa upendo
Mwili umeniweza na ukitaka nakupa scandal
Bila vita papi mi Corazon
Your mamacita papi mi amor
My Bonita sweetie senorita
Bila vita ukiita naitika
Umenipenda nashindwa kueleza
Nimependwa ona nadekezwa
Dawa nipe dawa
Dawa yako dawa
Dawa nipe dawa
Dawa yako dawa
Mh dawa yako mi inanifanya niwe chizi
Dawa yako ndio inanitoa baridi
Niimbe kama do re me
Simple kama abc
Curriculum ni ya CBC
Mambo ya ma ex weka tbt
Niimbe kama do re me (do re me)
Simple kama ABC
Curriculum ni ya CBC (cbc)
Mambo ya ma ex weka tbt (tbt)
Napenda unavyo pepeta pepeta ah
Paja nimelegeza legeza ah
Oh baby pepeta pepeta ah
(Ah ah ah)
Unanipepeta ah paja nimelegeza ah
Uh baby pepeta ah ah ah
Umenipenda nashindwa kueleza
Nimependwa ona nadekezwa
Dawa nipe dawa
Dawa yako dawa
Dawa nipe dawa
Dawa yako dawa
Umenipenda nashindwa kueleza
Nimependwa ona nadekezwa
Unanipepeta ah
Paja nimelegeza ah
Uh baby pepeta ah
(Aye) ah ah ah
Umenipenda nashindwa kueleza
Nimependwa ona nadekezwa
Umenipenda nashindwa kueleza
Nimependwa ona nadekezwa
Writer(s): Nadia Mwendo Mukami
Lyrics powered by www.musixmatch.com