Listen to Kiboko Yangu (feat. Alikiba) by MwanaFA

Kiboko Yangu (feat. Alikiba)

MwanaFA

Hip-Hop/Rap

26,294 Shazams

Lyrics

Kwa sifa moja umenikamata Nakupa, we peke yako ndo umeniweza Nilikopita nimeteleza Lakini kwako, we ndo kiboko yangu Kila shetani ana mbuyu wake, we ni mibuyu mitatu Ukiamua unitumikishe mwenzio ntalala na viatu Najionea maajabu, najionea mapya mama angu Hakuna mapenzi ya hivi popote kwenye ulimwengu Siwezi elezea jinsi navyokuzimia Nikicheza na moyo wako, unacheza na wangu pia Nafsi yangu ilishapotea, siwezi hata kujitetea Ka ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea Piga la kushoto ntageuza na la kulia Wengine hawanijaribu wanajua kitakachotokea Sitaki mambo yaende kombo na yakienda yawahi kurudi Hatuendi nayo, hatuwezi shindwa, yaje na mapambio ikibidi Tunapishana, hatugombani then we back here Hatuendi juu, hatuendi chini, love, we right here (oh!) Hata mapenzi yakifa boo, si tubaki sawa tu Si ni watu wazima, love hatuwezi kuishi ka underground Ujue una nusu ya moyo wangu, na nusu ilo baki kwangu Yote nakupenda wewe, una jua langu, una mwezi wangu Unatembea na roho yangu (wewe) Sio mtu tena wa mademu, we ndo Michelle Obama wangu Kwa sifa moja umenikamata (umenikamata) We peke yako ndo umeniweza (umeniweza) Nilikopita nimeteleza (Ooh) Lakini kwako, we ndo kiboko yangu Sipagawi hawajui kwanza We namba moja umewakimbiza Unatembea na roho yangu Nataka ujue we ndo kiboko yangu Wakikuita vikao vya hino wambie uko busy na bwana Na ubize hauwezi kuisha maana una mengi ya kufanya Hatuwezi kosa usingizi sababu watu wanasema Wana midomo, waifanyie nini? Waache wakichoka wataizima Uko mikono salama, 'cause nakuzimia sana Ka mboni yangu ya jicho jinsi navyokutazama Mahaba to the moon and back Kau keep it real, kwa kifupi mambo ya kihuni sitaki Nataka tuzeeke pamoja Mpaka vikongwe mi na we bega kwa bega Chochote unachotaka nime mipango ya kukupa kweli Kama sina ntatafuta na naamini utasubiri Huwezi omba ndege una akili, huwezi omba meli We ndo mtunza hela zangu, utaomba unachoweza himili Ka mteka meli wa kisomali, we ndo captain wangu We ndo suka man, we ndo pilot love Ujue una nusu ya moyo wangu, na nusu ilo baki kwangu Yote nakupenda wewe, una jua langu, una mwezi wangu Unatembea na roho yangu (wewe) Sio mtu tena wa mademu, we ndo Michelle Obama wangu (The One and only) Kwa sifa moja umenikamata We peke yako ndo umeniweza Nilikopita nimeteleza Lakini kwako, we ndo kiboko yangu Sipagawi hawajui kwamba We namba moja umewakimbiza Unatembea na roho yangu Unataka ujue we ndo kiboko yangu Ali K, Mwana FA, Makochali
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out