Lyrics

Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta BHANGI Mi huvuta BHANGI ndio ni deal na mashetani Mi hukula BHANGI zishike zikiwa ndani Nakama hupendi BHANGI weh ni mtoto wa shetani. Niko na swali... Nani ako na BHANGI Nani ako na party tukuje tuwashe BHANGI Nani ako na lighter yangu nilipea Mlami alikuwa na ki BHANGI ametoa kasarani. Niko na chwani ya kuvuta BHANGI Kaa niko na 100 ntavuta mbili za chwani Kaa niko na show backstage navuta BHANGI Mpaka macho ziwe red kushinda lipstick ya Zari. Ukiamka kwenda church mi huamka kuvuta BHANGI Mi nachapa kazi kushinda pepo za shetani Napenda majani kwanza ikiwa na Asali Napenda my honey yeh ni mtamu na Sukari... Ni ya ma sugar daddy nataka sugar Mummy bora ako na watoi wanapenda BHANGI Bora ako na account naweza toa ganji Nikikosa ganji najua siwezi kosa BHANGI Ukiamka Kwenda Church Mi Huamka Kuvuta Bangi Mi Huvuta Bangi Ndio Ni Deal Na Majirani Mi Hukula Bangi Ndio Damu Ikuwe Safi Na Kama Hupendi Bangi Weh Ni Mtu Wa Shetani Niko na Jibu, Nani ako Na Swali Nani ako Na Tibu Juu Tiba Huwa Ni Bangi Niliuma Ndimu nipate Sura ya Kazi na Tangu Nianze Bangi niliwachana na Kazi Niko na Arif, hawezi kosa Bangi Kaa sina doh Mi huenda Kwake Kula Bangi Kaa Niko na Show Yeh ndio Huletanga Bangi B*NGI B*NGI B*NGI B*NGI Bangi After Bangi Ukiamka Kwenda Church mi Huamka Kuvuta Bangi Mi nachapa kazi kushinda ata Matiangi Mi napenda Honey kwanza ikiwa na Ki Bangi Napenda Asali Utamu iko kwa Sukari Niwe ki SUGAR Daddy Niwache Sugar Mummy Bora nipate Mdem Anapenda Bangi Bora ako na Account naweza weka Ganji Akikosa Ganji najua siwezi Kosa PARKING!!!
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out