Lyrics

Tunategemeana - Godfrey Steven Wale wa ng'ambo wanauliza mmewezaje? Wale wa ng'ambo wanajubu mnashindwaje? Wale wa ng'ambo wanauliza mmevukaje Na ng'ambo inajibu mnashindwaje? Mlichonacho hatuna tulichonacho Hamna eee Basi tubadilishane tunufaike sotee Ulinalo gumu kwako kwa mwingine rahisi Unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu Sababubu kamwe mapito yanatofautiana Tutiane moyo sote safari ni mojaa Sababuuuuu Tegemeana Tunategemeana (Tunategemeana) Tegemeana Tu watu wa baba mmoja Wa baba mmojaaa Soooteee Tegemeana Tunategemeana Ili Giza litoweke lahitaji mwanga ujue Tena hakuna mrefu pasipo na mfupi Ukiona Daraja limejengeka ujue palionekana bonde kabla Ooooh Unalo rahisi kwako kwa mwingine ni gumu Sababubu kamwe mapito yanatofautiana Tutiane moyo sote safari ni mojaa Sababuuuuu Tegemeana Tunategemeana (Tunategemeana) Tegemeana Tu watu wa baba mmoja Wa baba mmojaaa Soooteee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out