Top Songs By Pitson
Credits
PERFORMING ARTISTS
Pitson
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Pitson
Songwriter
Peterson Ngetha Githinji
Songwriter
Lyrics
Imekuwa muda sasa papa sijakuimbia Lingala Baba
Nimekuwa nikishughulisha na mareggea na maragga
Mablues zikafanya mimi n'kalala
Sasa nimeamka Baba naimba Lingala
Waliniambia lingala poa nifunge mshipi juu ya tumbo
Na nijue kilingala eti "petit Lingala le eza moke"
Wakaniambia Lingala poa niongee katikati ya wimbo
"Naongea, na sina kitu cha kusema"
Mimi nasema Lingala ya Yesu haikuwangi complicated
Ukipewa kagitaa tu
Unainua mikono juu, unasifu Yesu juu
Lingala ya Yesu wangu, inaokoa
Lingala ya Yesu wangu, inabariki
Lingala ya Yesu wangu, si complicated
Unasifu Yesu juu
Sio lazima utoboe kila pahali ndio msanii usikike
Sio lazima magari ya kifahari ndio video ishike
Sio lazima ujue kilingala ndio Congo ufike
Nao madancer, nguo zimewabana, zimewabana
Mimi nasema Lingala ya Yesu haikuwangi complicated
Ukipewa kagitaa tu
Unainua mikono juu, unasifu Yesu juu
Unasifu Unasifu Unasifu juu
Sio jina lako we msanii, unasifu Yesu Juu
Lyrics powered by www.musixmatch.com